Our Feeds
#htmlcaption1

Tuesday, June 6, 2017

habarimoto255

MUME ATABAKI KUWA MUME AWEZI KUCHUKUA NAFASI YA BABA - RIYAMA ALLY

MSANII wa filamu kutoka kiwanda cha bongo movies RIYAMA ALLY amesema mume wake hawezi kuwa baba kwake kutokana na misingi ya Dini yake

.

mrembo huyo aliyewahi kuibuka kidedea kwenye sinema ya Fungu la kukosa iliyotamba miaka ya nyuma ambae pia ni mke halali wa mwanamziki wa miondoko ya hip hop Tanzania HAJI MWALIMU maarufu kama Leo mysterio amesema dini yake hairuhusu kubadili jina la baba yake kwenye ubini na kuweka la mumewe.


" naitwa RIYAMA ALLY na siwezi kuitwa RIYAMA HAJI MWALIMU kwasababu kutokana na misingi na maadili ya dini yangu ya kiislamu mumewangu hawezi kuwa baba yangu hivo siwezi kutumia jina lake kama ubini wangu"amesema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha friday night live cha eatv alipomsindikiza mume mysterio kutamburisha nyimbo yake mpya

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »