Our Feeds
#htmlcaption1

Thursday, June 8, 2017

habarimoto255

GABO ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTANGAZIA UJIO WAa‘KISOGO".


Jumatano hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii wa filamu, Gabo Zigamba ambapo aliitumia siku hiyo kuutangazia umma kuhusu ujio wa filamu yake mpya ‘Kisogo’.


Muigizaji huyo ambaye ni mmoja kati ya wasanii wa filamu wanaofuatiliwa sana kwa sasa kutokana na uzuri wa kazi zake, amewashukuru mashabiki wake kwa ushirikiano wanaomuonyesha katika kazi zake.

“Kazaliwa mwanaharakati mwenye 6 yake Eemollah Bark mimi katika haya machache kwani makubwa najuwa waniandalia Kisogo,” aliandika Gabo kupitia Instagram yake. Mashabiki katika mitandao ya kijamii wameonyesha kufurahishwa na ujumbe huyo huku wengine wakimtaka kuendelea kukaza ili kuleta mapinduzi katika tasnia ta filamu nchini. Pia muigizaji huyo hivi karibuni alionekana akiwa location na Wema Sepetu kuandaa filamu.

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »