Our Feeds
#htmlcaption1

Saturday, June 10, 2017

habarimoto255

KISWAHILI CHAMNOGEA - TEKNO

Lugha ya Kiswahili inazidi kupenya duniani kutokana na kutumiwa na mastaa wakubwa kila siku, leo nimeipata hii ya staa mwimbaji wa Nigeria,Tekno ambaye ameachia single yake mpya na ameamua kuitangaza kwa lugha ya Kiswahili kuwa inapatikana kwenye wasafi.com.


Tekno ameandika “Wanasema Utamu wa Ngoma uingie Ucheze….Haya watoto wazuri na wanangu wote wa Bongo Land ardhi ya Nyerere, twendeni tukaonje Huu Utamu Wa Pini yangu mpya ya kuitwa#SAMANTHA ila sio Mbwana”…..

“Ngoma iko Ndani Ya @wasafidotcom Kwa Mtonyo Wa Tsh 300 tu, Alafu Uje Unambie Umeionaje….Naskia eti Ngoma za Tekno hazijawai kumuacha mtu Salama…..Haya twendeni tukaliamshe Dudeeeee!!! – Tekno

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »