Our Feeds
#htmlcaption1

Wednesday, June 14, 2017

habarimoto255

AMBER ROSE APOST PICHA AKIWA MTUPU

Baada ya video model Amber Rose kupost picha akiwa MTUPU ,pamekuwa na maswali mengi sana ya kwanini amefanya hivi……


Staa huyu amesema kitendo hicho amekifanya ili kutangaza maandamano yake mengine maarufu kama SLUTWALK yatakayo fanyika mjini Los Angeles , Marekani.

Maandamano haya yana dhumuni la kuwapa nguvu zaidi Wanawake, usawa wa kijinsia na kupinga tabia za wanawake kulaumiwa kutokana na matatizo wanayokutana nayo kwenye maisha yao.

Picha ya Amber ilifutwa na mtandao wa Instagram ila baadae alikuja kuiweka tenaTwitter…..

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »