Our Feeds
#htmlcaption1

Tuesday, June 6, 2017

habarimoto255

IRENE PAUL ASHANGAZWA NA JAMBO

Msanii Maarufu wa Bongo Movies Irene Paul siku ya Leo amesherehekea siku ya kuzaliwa mtoto wake wa kike ambaye amezaliwa tarehe 6 mwezi 6 mwaka 2016 ambapo ni tarehe ambayo alimpoteza baba yake mzazi lakini kwa sasa ni imekuwa tarehe ya faraja kwake.



Leo tarehe 6 mwezi wa 6, 2017, Irene Paul kupitia ukurasa wake wa  instagram aliweza kudhihilisha furaha yake kwa mwanae huyo kwa kumuandikia mjumbe huu.

Ameandika haya:From @irenepaul001 - Nilimuona Mungu akinipigania na kunipa heshima mbele ya ma taifa, NIMEBARIKIWA,NIMEBADILISHWA JINA☺eti siku babangu aliyoenda 6.6.1996 ndio siku wewe uliyokuja 6.6.2016,umekuja na mengi ila kubwa kuliko yote ni UPENDO KAMA JINA LAKO😆😆MUNGU UNAISHI,MUNGU LITUKUZWE JINA LAKO,BABA YANGU UTUKUFU HESHIMA NA MAMLAKA VINA WEWE,WEWE NI MKUU NA UKUU WAKO HAUNA MWISHO,NAKUSHUKURU YARABI....MIKONO YANGU NI MIDOGO KUBEBA ZAWADI HII ILA KWA HURUMA YAKO NISAIDIE BILA WEWE HATUWEZI/SIWEZI.....HAPPY BIRTHDAY BABY WENDO-ISABEL 6.6.1Y

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »