Our Feeds
#htmlcaption1

Friday, June 9, 2017

habarimoto255

HUU NDIYO UKWELI BAINA YA MC PILIPILI NA NANDY


Msanii wa bongo fleva Nandy ameamua kuweka wazi juu ya mahusiano yake yeye na mchekeshaji mc Pilipili.

Kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Nandy amebainisha kuwa watu wamekuwa wakidhani kuwa ni wapenzi kwa sababu ya ukaribu wake na MC Pilipili ingawa amekiri kuwa na mpenzi ambaye amedai hayuko tayari kumuweka wazi.

“Nipo kwenye mahusiano ndiyo lakini sijayaweka wazi kwa wazazi ila kwa upande wetu yapo wazi. Ni kweli nilikuwa mtu wa karibu sana na MC Pilipili lakini hatukuwahi kutoka kimapenzi. Tulikuwa na ukaribu tu wa kawaida.” – Nandy.

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »