Our Feeds
#htmlcaption1

Friday, June 9, 2017

habarimoto255

MAMA DIAMONDI AFUNGUKA ISSUE YA DIAMOND KUMPA MIMBA HAMISA MOBETO


Baada ya kuwepo kwa story ambayo inaendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mwimbaji staa Diamond Platnumz amempa ujauzitoHamisa Mobetto na kumnunulia gari, mama mzazi wa staa huyo amefunguka.

Kupitia kwenye U-heard ya XXL ya Clouds FM leo June 9, 2017 mtangazaji Soudy Brown baada ya kuwakosa Diamond na Hamisa Mobetto alipiga story na mama mzazi wa Diamond kuhusu issue hiyo:>>>“Umempa wewe? Napatana naye.

Mimi napatana na kila mtu. Ananiona nuski, mbona unataka nionake na mimi mbea? Mimi nakuambia sinaga mambo hayo ya kukaa na watu kumuongelea mtu. Mimi napatana na Zari aliyeniletea watoto.” – Mama Diamond.

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »