Our Feeds
#htmlcaption1

Saturday, June 10, 2017

habarimoto255

SNURA AMPA MAKAVU BEN POL

Malkia wa uswazi Snura Mushi ( mama majanga ) amempa makavu Ben Pol baada ya kudai kuwa Snura alimtongoza wakati wakiwa kwenye show ya fiesta dodoma.


Snura alisema ayo wakati alipokuwa akifanyiwa mahojiano na kipindi cha SHILAWADU cha clouds tv ambapo alisema kuwa mdogo wake aitwae Ashura alimpigia simu na kumwambia ishu ambayo imetokea wakati Ben Pol alipofanyiwa interview na Diva.


“mimi nilikuwa nipo mbali na radio kwaiyo mdogo wangu anaitwa Ashura akanipigia simu na kuniadithia mkasa mzima uliotokea japo huyu Ashura si mtu wa kwanza kunipigia na  pia alitumia sauti ambayo aliirecord na kunirushia ila pia nimeumia sana na hiki kitu ninachojiuliza ni kwamba Ben alikua anatafuta kiki au ni vipi maana sijamzoea kuwa mtu wa ivyo” alisema Snura Mushi

Pia Ben Pol alionesha kujishusha kwa kuepusha shali ili ishu isije kumuaribia cv yake.

 “ mimi nimeamua kujishusha lakini tusubiri iyo interview ikiwekwa youtube ndo muanze kunilaumu ila ikiwa kinyume itabidi snura arudi hapahapa kwenye shiwawadu ili aniombe msamaha” alisema Ben Poal

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »