Our Feeds
#htmlcaption1

Monday, June 26, 2017

habarimoto255

level zangu ni kina ali kiba na diamond - Z ANTONY

Msanii Z Anto amesema siku  yoyote kuanzia sasa anaachia ngoma yake mpya na video na kusema kuwa watu anaowawaza na kuwafikiria sana kuwa ni Alikiba, Diamond Platnum pamoja na Vanessa Mdee.
Msanii Z Anto
Z Anto anakiri kuwa ujio wake mpya katika muziki wa bongo fleva unakuja kuleta heshima tena ya muziki huo na kusema kipindi yupo kimya alikuwa anajifunza mengi kupitia wasanii wa sasa na kusema ameona mapungufu yao hivyo yeye anakuja kuwafundisha sababu tayari amewasoma na kufanya kitu kupitia makosa yao hivyo watajifunza kupitia yeye. 
Mtazame hapa akifunguka mengi zaidi kuhusu ukimya wake, mafanikio yake pamoja na ujio wake huo mpya ambao yeye mwenyewe anasema ni ujio wa hatari.  

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »