Our Feeds
#htmlcaption1

Tuesday, June 13, 2017

habarimoto255

DOGO ATAJIRIKA KWA WIMBO WA IF WA DAVIDO

Mwanamuziki Davido kutoka Nigeria amebadilisha kabisa maisha ya dogo mmoja wa miaka 5 wa nchini humo aliyefahamika kwa jina la Utibe.


Davido alifurahishwa na dogo huyo baada ya kuona video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha akiimba wimbo wa Davido maarufu kama ‘If’.


Utibe sasa hataishi tena maisha ya ufukara kwani Davido ameahidi kumjengea yeye pamoja na mama yake nyumba ya kifarahi. Aidha Davido alijitolea kumlipia Utibe karo ya shule hadi atakapofika chuo kikuu.

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »