Our Feeds
#htmlcaption1

Monday, June 12, 2017

habarimoto255

DIAMOND NA ZARI WAPEANA MADONGO

Dakika chache zilizopita mwimbaji wa BongoflevaDiamond Platnumz alionekana kukasirishwa na picha ya mpenzi wake ‘Zari‘ kuonekana na Mwanaume kwenye spa katika picha zilizosambaa.


Maneno ya Diamond Platnumz baada ya hiyo picha ni haya >>> “Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa“Baada ya maneno hayo ya Diamond, Zari nae ametuma post mbili kutolea ufafanuzi hizo picha kwa kuandika kuwa Mwanaume aliyeonekana nae ktk picha ni Binamu wa Marehemu Ivan na hiyo picha yao  ilipigwa na Mke wake.

Kwenye post nyingine Zari aliweka picha nne kwenye picha moja na kuonyesha watu aliokua nao siku hiyo na kuonyesha kukasirishwa na waliozisambaza hizo picha…

. akaandika >>> “And to the fools circulating this nonsense mnitole nja zak****e kwa maisha yangu punda nyinyi…..”

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »