Our Feeds
#htmlcaption1

Wednesday, June 7, 2017

habarimoto255

BUNGENI 2020 LAZIMA - PETER MSECHU

Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Joseph Haule ‘Professor Jay’na Vicky Kamata kwa kuwataja wachache ni miongoni mwa mastaa wa muziki ambao wameamua kuhamishia makali yao kwenye siasa ambapo sasa wote ni Wabunge lakini wapo wasanii wengine wenye nia hiyo?


FreshNewsTz.com zimempata mmoja wa mastaa wa Bongofleva Peter Msechu ambaye hakusita kuweka wazi nia yake ya kutaka kugombea Ubunge Kigoma kwenye Uchaguzi Mkuu 2020…nini hasa kilichomsukuma kufikiria Ubunge?

Subscribe to this Blog via Email :
Previous
Next Post »